Kucheza kama mgeni huhitaji kusajiliwa, unatakiwa kuwa na namba ya simu pekee
Chagua odds nzuri kwenye michezo kutoka kwenye timu unazozipenda
Weka Kiasi cha kulipia kwenye mkeka wako, chagua mtandao utakaotumia kwenye malipo na bonyeza kwenye Lipia mkeka. Kumbuka idadi ndogo ya michezo kwa kila mkeka ni 2 na kiasi cha chini kulipia kama mgeni kinategemea na mtandao.
Utakapo bonyeza kitufe cha "Lipia mkeka", Utaona maelezo ya mkeka ambayo yameandaliwa. Utatakiwa kusubiri maelezo kutoka kwenye mtandao wako kuruhusu malipo ya ubashiri wako.
From July 1st 2022 comes into force the new tax on winnings for sports betting games. The new tax has been directed by the Gaming Board of Tanzania. This implies that players will be deducted a 10% winning tax on the possible wining less the amount wagered.