Hapa M-Bet Plus tuna kutaka ufurahie uzoefu wakucheza kamari mtandaoni. Tunafanya kazi na wasimamizi wetu katika jaribio ili kutoa udhibiti wa aina nyingi kwa dhana ambazo zina uzoefu wa kutatua tatizo
Kumbuka ingawa wafanyakazi wa mchezo wakamari wana weza kutoa zana ambazo kila mtu ana weza kudhibiti kamari, mfanya kazi hawezi kuzani nakuwa na wajibu wowote wa kutumia udhibiti huo.kuna ulazima kuwe nakipengele kikubwa cha wajibu binafsi.Tumia zana tunayo toa au ukiwa unafikiri utajaribu kuwa zuia tafadhali fanya ushauri kutoka kwa mtalamu wa mchezo wa kamari ili kupata msaada
Kupitia kipengele hichi tunakupa njia na maelekezo ya Jinsi ya kufatilia,wajumbe wa familia au mshkaji ili kuhakikisha kuwa haiwezi kuwa tatizo
Tuna toa ufafanuzi muongozo na chaguo kazaa jinsi ya kumuunga mkono na swala la mchezo wa kamari na jinsi ya kusimamia. Maswali ya fuatayo yana weza kuchukuliwa na watu binafsi wenyewe mshkaji au familia:
zaidi yako au mamshkaji zako/wanafamilia wanavyojibu ‘ndio’ kwa hayo maswali zaidi unavyopenda ni wewe au wao wanaweza kua na tatizo la kucheza kamari.
Matatizo ya mchezo wa kamari unaweza ukafika mbali na kuleta athari kubwa katika maisha ya watu.
Watu wazima tu
Kwa Tanzania ni halali kwa mtu ambae ni chini ya umri kisheria kucheza kamari. M-Bet Plus ina haki ya kuuliza kwa ushahidi wa umri wa kila mteja na kubeba kufanya ukaguzi wa kuthibitisha habari zinazotolewa.
akaunti ya mteja inaweza kusimamishwa na hela kushikiliwa mpaka ushahidi wa umri utakaoridhisha kupatikana. Miaka ya kucheza michezo ya kamari inatofautiana na sheria za nchi husika na tunakushauri kufanya utafiti.
Shukrani nyingi, M-Bet Plus.
From July 1st 2022 comes into force the new tax on winnings for sports betting games. The new tax has been directed by the Gaming Board of Tanzania. This implies that players will be deducted a 10% winning tax on the possible wining less the amount wagered.